Dunia ya leo ni dunia ya urembo,kuwa na mwonekano mzuri wa sura unatokana na kuwa na ngozi nzuri ya uso hivyo ni muhimu sana kwa mwanamke yoyote kujali na kujua namna bora ya kuhifadhi ngozi yake.
Matatizo ya ngozi kama Chunusi,mikunjo ya kizee,madoadoa na mengine husumbua wengi na yanahitaji kujua tiba bora na sahihi,Watu wengi wanakuwa wanapata taabu kufahamu vipodozi vipi watumie ili kuweza kutunza ngozi zao na kuzipa mwonekano mzuri unaofaa.Kuna vipodozi vingi sana madukani ambavyo unaweza kununua na kutumia ila kuna vichache sana vyenye ubora kwa ajili ya kukusaidia kutimiza hitaji lako la mwonekano bomba.Leo nakupa moja tu yenye ubora kushinda zote.
Ili uwe na mwonekano mzuri wenye afya,kuifanya ngozi yako ya kizee iwe ngozi changa kama ya mtoto tumia Charm & Glow herbal facial kit.
Charm & Clow ni nini ?
Charm & Clow herbal facial kit ni mjumuisho wa vipodozi zaidi ya 5 ambavyo vimefungashwa pamoja ili kutumika kimoja baada ya kingine kwa hatua ili kutibu tatizo la ngozi yako na kuiacha ikiwa yakuvutia na yenye afya.
Kwanini unashauriwa kutumia Charm & Clow herbal facial kit?
Kusudi la msingi la kutumia usoni ni Kuboresha mzunguko wa damu.Uso husafishwa kwa njia ya massage huweza kusuguliwa taratibu ili kufungua matundu ya ngozi hivyo husaidia ngozi kupumua vizuri na kuruhusu uchafu wa kwenye ngozi kutoka kirahisi,massage hii ni muhimu kuifanya kila mwezi ili kutunza ngozi katika hali ya urembo na afya.
Kupitia Charm &glow herbal kit husaidia kutoa mikunjo ya uzee ,kuzuia bacteria wa ngozi na chunusi pia huondoa madoadoa na huufanya uso ung'ae.
Hatua 5 za kutumia Charm&Glow herbal kit
Hatua ya 1.Cleanser
Inamchanganyiko wa Shea butter na mwarobaini(neem)ambao unapenya kwenye ngozi na kusafisha ngozi yako,Shea butter huwezesha ngozi kuwa mbichi na kutibu ngozi,Mwarobaini(neem) kwa asili huwa inatibu Chunusi,na kuondoa ngozi mfu pia inauwezo wa kuondoa make-up kwenye ngozi bila kuathiri ubichi wa ngozi yako.
Hatua ya kwanza ni kutumia cleanser,hii ina rangi ya weupe wa maziwa na harufu nzuri weka kwenye kiganja chako na kisha sugua taratibu uso wote ili kuondoa uchafu.
Hatua ya 2.Exfoliating Scrub
Hatua ya pili ni baada ya kutumia cleanser paka exfoliating scrub kwenye uso wote hii imechanganywa na walnut na olive oil(mafuta ya mzeituni)sugua taratibu uso wako kwa kutumia viganja
Hatua ya 3.SPA Massage Cream
Inamchanganyiko wa mimea inayojulikana kama Beet unaosaidia kuzuia ngozi yako kuzeeka na hutibu ngozi pia na kuifanya ngozi ya kizee ionekane tena mpya na mbichi kama ya kijana.
Ina rangi nyeupe na harufu nzuri paka uso wote na sugua taratibu kupata uso laini.
Hatua ya 4.Face pack
Inamchanganyiko wa mafuta ya karoti inayoleta unyevu kwenye ngozi yako,Inajulikana pia kwa kazi ya kutoa sumu kwenye ngozi iliyoathiriwa na vipodozi na kuitibu kisawasawa,huondoa mikunjo usoni pia ina Licorice inayosaidia kung'arisha ngozi yako, Paka face pack usoni na uoshe baadaye ili kuulainisha uso wako.
Hatua ya 5.Rejuvenating &Fairness cream
Hii inamchanganyiko wa ngozi ya nyanya,karoti na chai,na vitamini E ukiipaka inakupa mwonekano wa ngozi ya kung'aa na uangavu,Weka kwenye kiganja kisha paka uso wote na usugue taratibu.Kufikia hapo umefanikiwa kuupa uso wako mwonekano maridadi wa kiurembo sasa subiri matokeo tuu.
Sasa Bidhaa hii inapatikana madukani
Kwa mzigo wa jumla fika Kwa wasambazaji VITAL INTERNATIONAL LTD
Calico Complex,Tazara Dar es salaam.
www.vil.co.tz
Mobile:0784112347
0769017151
Share and give your comment

No comments:
Post a Comment