Tuesday, 17 September 2019

Mambo usiyoyajua kuhusu pampasi za Baby Panda

Baada ya kufanya uchunguzi na utafiti wa kina juu ya pampasi mbalimbali zinazotumiwa nchini Tanzania,nimegundua kuwa kuna pampasi bora na inayokidhi mahitaji vizuri zaidi kuliko aina zingine zinazopatikana hapa Tanzania.Bila shaka kila mmoja anaelewa juu ya umuhimu wa kutumia bidhaa bora hasa za pampasi kwa ajili ya watoto wetu.

Leo ningependa kushauriana na wasomaji wangu juu ya aina hii bora mpya na inayopendwa na wengi wanaojaribu kuitumia.
Nazungumzia Pampasi za Baby Panda hii ndo habari ya mjini .

Inapendwa kwa sababu zifuatazo
  • Imetengenezwa kwa pamba laini zinazofyonza uchafu wote,haimchubui ngozi ya mtoto.
  • Inamchanganyiko wa Alovera unaomlinda mtoto dhidi ya bacteria na fungasi.
  • Inauwezo wa kuhimili uchafu wa mwanao kwa zaidi ya masaa 12.
  • Inauwezo wakufanya awe mkavu siku nzima na kumfanya awe mwenye furaha siku nzima.


Baby Panda ipo katika saizi ndogo(small size),saizi ya kati(Medium size) na saizi kubwa (large) ,Bidhaa hii inatengenezwa nchini Afrika kusini,Pia watengenezaji wanatengeneza pampasi za aina zingine kama Absorbers supreme abazo zinaubora mzuri unaokubalika.

Baby Panda Nappies




Absorber Supreme


Bidhaa hii inasambazwa na VITAL INTERNATIONAL
Pata bidhaa hii kwa Jumla na Rejareja
wanapatikana Calico Complex,Tazara Dar es salaam.
Email info@vil.co.tz
Tel:+255 022 2860409
Mobile 0769017151 au 0784112347


Share and give your comment

About the Author

Mussa Msemakweli is a technology entrepreneur, Book writer and digital marketing expert. He is currently C E O at the Africa shared . His work has been featured in a number of publications, including the Maisha halisi Magazine and on Culture trip. If you have a good time follow me on facebook and instagram or leave a comment, Thanks.
Follow Me on Facebook Facebook maishahalisi_tanzania FOLLOW'>Instagram


Mussa Msemakweli

No comments:

Post a Comment