Wednesday 11 September 2019

Fahamu ubora unaowavutia watumiaji wa betri za Energizer


Kuna betri za aina nyingi madukani ambazo watumiaji wa kitanzania huzikuta madukani na kuamua kununua kwa ajili ya matumizi mbalimbali majumbani na sehemu zingine za kazi,Betri nyingi za aina hizo zinazalishwa nchini China na hazina ubora kwa watumiaji.

Habari njema ni kwamba kuna aina nzuri na bora zaidi ambayo watumiaji wanatakiwa kuanza kuitumia ,Hii si nyingine bali ni Energizer batteries.

Betri za Energizer zinazalishwa kutoka nchi za Japan,Marekani,Indonesia na Singapore
Kuna aina mbalimbali za betri zinazozalishwa na Energizer kama
Betri za kuchaji(Rechargable batteries) mfano AA2 Recharge power plus aina nyingine ni zile zisizo za kuchaji.pia unaweza kuzitofautisha katika mtindo wa utengenezwaji mfano zipo Betri za Lithium ,Alkaline, na Betri za Coin
betri hizi  zinatumika kwenye Redio, Saa,vipimo vya kupimia uzito,kamera,Rimote mbalimbali kama za kufungulia mageti na magari,Vipaza sauti,Vifaa vya maabara,Tv na kadhalika ,Betri za Energizer ni chaguo namba moja kwa wapiga picha maana huwafanya wasihofie kuharibu  shughuli katikati kwa kuishiwa na betri


Kwanini unashauriwa kutumia Energizer Battery

  • Ni betri yenye nguvu zaidi ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu zaidi.
  • Betri hizi hazivuji kama betri zingine wala kutoa majimaji  imetengenezwa kwa gamba gumu linalofanya isivuje majimaji kama aina zingine za betri kutoka China.
kuna aina nyingi za betri zisizo na kiwango hapa nchini zinazoharibu vifaa vyetu majumbani kwa kuvuja majimaji yanayopelekea kupata hasara ,Sasa Energizer Betri imekuja kuondoa tatizo hili.
  • Zimefungwa vizuri(Well packed) kwenye blister pack ambayo huzifanya zibaki na ubora wake muda mrefu
  • Zipo Energizer Betri za kuchaji (Rechargeble Betteries) kama AA 4
  • Betri za Energizer zinauwezo wa kukaa kwenye shelf lako kuanzia miaka 5-20 kama zimewekwa bila kutumiwa na hubaki na nguvu ileile .
  • Energizer inamjali mtumiaji na mazingira kwa ujumla,Kwa miaka mingi sasa Energizer wamekuwa wakiondoa material ya ovyo yasiyopaswa kuwa kwenye betri zinazotumika nyumbani,Tangu miaka ya 1990 Energizer wametoa Mercury na Cadmium kwenye betri zinazotumiwa nyumbani  (AAA, AA, C, D na 9V) na wakaleta betri zisizo na mercury leo Energizer wanazalisha betri imara zaidi za Ultimate Lithium betri namba moja inayodumu zaidi na yenye nguvu duniani AA na AAA hutumiwa kwenye vifaa vya hali ya juu ya kiteknolojia,Betri hii si kwamba inadumu zaidi tuu bali ni bora na nyepesi kuliko zile za alkaline unaweza ukaichaji tena na tena.
Energizer betri zipo katika ukubwa mbalimbali kama (AA) , (AAA)
,C na D ,9V na n.k



Sasa betri za Energizer zipo maduka yote nchini
wasambazaji wa bidhaa hizi ni VITAL INTERNATIONAL
Wapo Tazara,Calico Plaza,Dar es salaam.
BUY ENERGIZER BATTERIES NOW


Share and give your comment

About the Author

Mussa Msemakweli is a technology entrepreneur, Book writer and digital marketing expert. He is currently C E O at the Africa shared . His work has been featured in a number of publications, including the Maisha halisi Magazine and on Culture trip. If you have a good time follow me on facebook and instagram or leave a comment, Thanks.
Follow Me on Facebook Facebook maishahalisi_tanzania FOLLOW'>Instagram


Mussa Msemakweli

No comments:

Post a Comment